Derick Ngimba
Organisation Bright Foundation for Tanzania Development (BFTD)
Country Tanzania
Region East Africa
Sector Civil society organisation / NGO
Position/Job title Managing Director
My experience in adult learning and education
Mimi ni mwalimu kwa taaluma ,kiwango cha elimu ni Shahada ya kwanza katika masomo ya sayansi .Nimekuwa nikifundisha shule za sekondari na vyuo,kwenye taasisi mbalimbali zinazotoa elimu kwenye mfumo rasimi na usio rasmi kwa watu wazima,kama vile wanarudia mitihani ya kidato cha nne, cha sita, wanaofanya mitihani ya qulified test,wajasilia mali, wazazi wa wanafunzi kuhusu lishe,na mazingira, maswala ya uchumi na utunzaji fedha kwa ajili ya watoto wao.lakini pia mimi ni mkufunzi wa mafunzo ya watu wazima katika cha cha Tanzania Scout Association. hivyo nina uzoefu mkubwa wa kutoa elimu kwa watu wazima kwani hawa ndio wanao leta madiliko ya haraka katika jamii zatu.
brightfoundationfortanzaniande@gmail.com